Home Tanzania News

Tanzania News

Nahodha wa zamani wa England na Chelsea John Terry, ambaye kwa sasa ni naibu meneja wa Aston Villa, anashauriana na Middlesbrough kuhusu uwezekano wa kuwa maneja wao mpya.(Talksport). Manchester City wanakaribia kumsajili beki wa Ureno Joao Cancelo, 24, ambaye thamani yake inakadiriwa na Juventus kuwa euro milioni 60. (Record – in Portuguese). Atletico Madrid na Napoli wanapania kumsajili...
By AFP AgencyMore by this Author PARIS. Two French families have filed lawsuits against US aircraft manufacturer Boeing over the crash of a 737 MAX of Ethiopian Airlines in March, lawyers said on Tuesday.The March 10 crash of the plane, which was flying from Addis Ababa to Nairobi, killed all 157 people on board including seven French citizens.The crash...
​ Sevilla to change the first team coach after Dar tour - The Citizen News ...
Kikosi cha klabu ya Sevilla FC kimewasili nchini hapo jana usiku na kupokelewa kwa shangwe kubwa katika uwanja wa ndege wa JK Nyerere kupitia kikundi cha ngomo kilichopo chini ya msanii Mrisho Mpoto.Baada ya mapokezi hayo klabu ya Simba ambayo watacheza nao walikuwa mkoani Singida wakicheza na klabu ya Singida United na kufanikiwa kupata ushindi uliowapelekea kutangaza ubingwa...
Kipa wa Arsenal mwenye umri wa miaka 37, Petr Cech atarejea Chelsea msimu huu wa joto kuchukua wadhifa wa mkurugenzi wa michezo. (Sky Sports)Gunners wanatafakari uwezekano wa kumsajili kwa uhamisho wa bila malipo kipa wa Dynamo Dresden na Ujerumani wa timu ya wachezaji wa chini ya miaka 21 Markus Schubert, 20, msimu ujao kuchukua nafasi ya Cech. (Bild...
Klabu ya Wekundu wa Msimbazi, Simba SC imefanikiwa kunyakua kombe la ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2018/19 baada ya kuichapa Singida United goli 2-0 ugenini kwenye uwanja wa Namfua, Singida.Simba wamefanikiwa kutetea ubingwa wao kupitia magoli ya Meddie Kagere dakika ya 10 na John Bocco dakika ya 60.Ushindi huo unaifanya Simba kufikisha alama 91 ambazo...
Kutokana na sababu za kiusalama, Klabu ya Arsenal imetangaza rasmi kuwa haitamjumuisha kiungo wao mshambuliaji, Henrikh Mkhitaryan kwenye kikosi kitakacho safiri kwenda mjini Baku nchini Azerbaijan kwa ajili ya mchezo wa fainali ya Europa unaotarajiwa kuchezwa tarehe 29 mwezi huu.Arsenal imetoa taarifa hiyo rasmi, ikieleza kuwa sababu za kiusalama kwa, Muarmenia Mkhitaryan ndio zimepelekea kumtoa kwenye kikosi."We're very...
Labda ni ngumu kuamini kuwa miji mikubwa zaidi duniani iko katika nchi mbili zilizo na wakazi wengi ulimwenguni, ambazo zinzpatikana katika bara la Asia, China na India. Miongoni mwa miji hiyo ni Shanghai na Beijing, ambayo ina watu zaidi ya milioni 25 na 22 kwa mtiririko huo, Delhi (milioni 27), na Mumbai (zaidi ya milioni 21.5).Hata hivyo, Tokyo...
Waziri wa mambo ya nje wa Iran Mohammed Javad Zarif amesema kile alichokiita ”kejeli za maangamizi” za rais wa Marekani Donald Trump haziwezi kuimaliza Iran.Kupitia mtandao wa Twitter, Zarif amesema Iran imesimama imara kwa maelfu ya miaka, wakati maadui wake wote wakiwa wametoweka.Goaded by #B_Team, @realdonaldTrump hopes to achieve what Alexander, Genghis & other aggressors failed to do....
Jamii ya wahindi wa tabaka la chini linalojukina kama Dalit linaomboleza kifo cha mmoja wao aliyeuawa kwa kosa la ”kukalia kiti na kula” mbele ya watu wa tabaka la juu katika kijiji cha Kot nchini India.Mwezi uliyopita kundi la wanaume wa jamii ya wahindi wa tabaka la juu lilidaiwa kumpiga vibaya mtu aliyefahamika kama Jitendra mwenye umri wa...

Most popular

Recent posts