Home Videos

Videos

Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amefunguka kwa mara ya kwanza na kueleza jinsi alivyoteswa na ugonjwa wa Dengue wiki mbili zilizopita.Picha ya Babu Tale kipindi alivyolazwa.Babu Tale kupitia kipindi hicho chote alichougua, Amesema kuwa alikuwa anawaza endapo akifariki Kijijini kwake watamkumbuka kwa lipi? hivyo kwa vile amepona ameona ni vyema akarudi Morogoro na kuanza kusaidia wasanii wachanga...
Mazungumzo ya kuunda baraza la kiraia nchini Sudan yameahirishwa kwa mara nyingine huku pande zinazozungumza zikishindwa kupata muafaka kuhusu muundo wa baraza hilo la mpito kabla ya uchaguzi.Baraza la mpito la kijeshi na wawakilishi wa makundi ya upinzani nchini Sudan wameshindwa tena kuafikiana kuhusu kuundwa kwa chombo kipya kitakachotawala taifa hilo, wakati mazungumzo baina yao yakikabiliwa na mkwamo kuhusu watawala...
Klabu ya Real Madrid wamefunga msimu wa 2018/19 kwa kukubali kipigo nyumbani cha goli 2-0 dhidi Real Betis na kuwafanya kumaliza na alama 68, Na kuweka rekodi kwa mara ya kwanza tangu msimu wa mwaka 1995/96 ambapo walimal;iza La Liga kwa alama chache zaidi.Bale na ZidaneKufuatia kipigo hicho, Kocha wa klabu hiyo Zinedine Zidane amesema kuwa hatamtumia tena...
Alfajiri ya kuamkia Leo Mei 20, 2019 nchini Marekani kulikuwa na pambano la ngumi uzito wa juu kati ya Mbabe Deontay Wilder na Dominic Brazeale, Pambano ambalo Wilder ameibuka kwa ushindi wa KO ndani ya sekunde 44 za raundi ya kwanza.Deontay WilderBaada ya ushindi huo Wilder akiongea na waandishi wa habari, amesema kuwa mchezo huo alihisi utakuwa rahisi...
Msanii wa muziki wa bongo Fleva kutoka lebo ya muziki ya WCB Ryavanny wakati wa tukio la kugawa mafuta bure kwa madereva Bajaj na Pikipiki amefunguka kupitia Bongo 5 na kueleza jinsi alivyokutana na Alikiba na Ommy Dimpoz kwenye ndege na kusalimiana nao.By Ally Juma. Source link
Deontay Wilder anahatarisha historia yake katika ulimwengu wa ndondi kufuatia matamshi yake ya kutekeleza mauaji katika ukumbi wa ndondi.Kwa mujibu wa BBC. Wilder ambaye ni bingwa wa ukanda wa WBC katika uzani mzito zaidi duniani amekosolewa kwa kudai kwamba atamuua mpinzani wake- baada ya kusema kwamba atahakikisha kuwa ameua katika rekodi yake ya mapigano.Lakini mkufunzi wa mpinzani wake...
Mbwa mmoja nchini kaskazini mwa Thailand amemuokoa mtoto mchanga aliyekuwa amezaliwa baada ya kuzikwa hai anayedaiwa kuzikwa na mwanamke mwenye umri mdogo. Mwili wa mtoto huyo mchanga wa kiume unasemekana ulikuwa umezikwa na mama mwenye umri wa miaka , 15, ambaye alikuwa amewaficha wazazi wake ujauzito.Kwa mujibu wa BBC. Mbwa kwa jina Ping Pong alionekana akiwa anabweka na...
Maafisha wa polisi walio haribu gari la mbunge wa upinzani, Robert Kyagulanyi al maarufu kama, Bobi Wine wakati alipotiwa nguvuni katika siku ya Jumatatu ya Pasaka watakabiliwa na mashtaka katika mahakama ya nidhamu ya polisi ya matumizi ya nguvu kupita kiasi, amesema Msemaji wa polisi Uganda.Maafisa wa kikosi cha polisi cha kupambana na ghasia (FFU) walivunja madirisha ya...
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uingereza,  Marcus Rashford, mwenye umri wa miaka 21, anataka hakikisho kutoka kwa Manchester United kabla ya kukubali mkataba mpya.(Sun)Manchester United wamewasiliana na Fulham juu ya uwezekano wa kusaini mkataba na mlinzi Ryan Sessegnon, mwenye umri wa miaka 19 siku ya Jumapili, ambaye kwa muda mrefu amekuwa akilengwa na Tottenham. (Sky Sports)Mchezaji wa...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya  Dudu baya ameachia au ya wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Dude, msanii huyo huyo ameachia wimbo huo baada ya ngoma yake ya Konki na Ryavanny kufanya vizuri. wimbo huo akiufanya kwa T touch.https://www.youtube.com/watch?v=serIk5Y2wWgBy Ally Juma. Source link

Most popular

Recent posts