Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa mtindo wa kufoka rap Cyril Kamikaze  ameachia audio ya wimbo wake mpya unaoitwa “Private” wimbo huo umefanywa na producer  CYRILL KAMIKAZE ambaye ndio mwenye wimbo lakini akiufanyia katika studio ya  Tongwe records.

By Ally Juma.Source link