Msanii na mlongwe wa muziki wa Bongo Fleva Godfrey Tumaini alimaarufu Dudu baya amefunguka mengi sana na kuionyesha nyumba anayoishi kwa sasa.

kupitia mahojiano aliyofanya na Bongo5 Dudu baya pia ameeleza kuhusu kumpiga Gigy Money baada ya kumtongoza:-

By Ally Juma.Source link