Baada ya ligi mbalimbali duniani kumalizika na kila ligi kujulikana bingwa, mfano kwa upande wa Uingereza bingwa alikuwa Manchester City, Uhispania bingwa Barcelona, Ujerumani Bingwa Bayern Munich na ufaransa bingwa akiwa PSG lakini nchini Italia bingwa akiwa Juventus tayri msimu 2019/2020 unatarajiwa kuanza mapema mwezi wa 8 na ligi ya Uingereza wametangaza tarehe rasmi ya ligi hiyo kuanza ambapo mpaka sasa kila timuimejua nani wakukutana nayo.

katika mchezo wa kukata na shoka siku ya ufunguzi ambayo itakuwa mwezi wa 8 tarehe 9 siku ya Ijumaa Mashetani wekundu Manchester United watawakaribisha Chelsea katika dimba la OT.

Rtaiba kamili hii hapa:-

https://www.premierleague.com/

By Ally Juma.Source link