Home Tags Kipigo

Tag: kipigo

COPA AMERICA: Baada ya kipigo cha goli 2-0 cha Argentina dhidi ya Brazil, Lionel...

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi amewatolea uvivu waamuzi pamoja na wasimamizi wa mchezo wa leo usiku dhidi ya Brazil, Kwa kuwambia kuwa walishindwa kuchezesha mchezo huo...

Pierre Liquid atua Bongo kinyonge baada ya kipigo cha Taifa Stars dhidi ya Senegal...

Shabiki wa Taifa Stars, Pierre Liquid ni mmoja kati ya waliomo kwenye msafara wa wabunge waliorejea nchini leo kutoka Misri walikokwenda kuipa nguvu timu hiyo katika fainali za AFCON2019.Baadhi ya...

UGANDA: Afisa usalama barabarani atinga mahakamani kumshitaki Meja Generali, adai fidia ya Milioni 200...

Afisa wa polisi mwanamke wa Uganda anayedaiwa kushambuliwa na Meja Generali Matayo Kyaligonza na walinzi wake wawili amefika mahakamani kuomba apewe fidia ya shilingi za Uganda milioni 200.Picha inayodaiwa kuwa...

Baada ya kupokea kipigo, Anthony Joshua ashauriwa kumtimua kocha wake, Rob McCracken ‘Huwezi kuwa...

Bondia wazamani wa uzito wa juu na bingwa wa dunia, Lennox Lewis amemwambia mwanamasumbwi, Anthony Joshua kuwa aachane na mwalimu wake ambaye anamfundisha, Rob McCracken kutokana na mchezaji huyo kupokea kichapo...

Bondia Anthony Joshua apigwa KO ya kwanza Marekani, Avuliwa mikanda yake yote ya ubingwa,...

Bondia Anthony Joshua amepokea kipigo kitakatifu cha TKO kutoka kwa Andy Ruiz Jr katika raundi ya saba kwenye mchezo uliokuwa unasubiriwa kwa hamu.Mchezo huo uliopigwa alfajiri ya kuamkia leo Juni...

Real Madrid wamaliza La Liga kwa kipigo nyumbani kwao, Zidane amfyatukia Bale na kutangaza...

Klabu ya Real Madrid wamefunga msimu wa 2018/19 kwa kukubali kipigo nyumbani cha goli 2-0 dhidi Real Betis na kuwafanya kumaliza na alama 68, Na kuweka rekodi kwa mara ya...

Zahera afunguka mazito baada ya kipigo  cha Biashara United ‘Rais wenu mkuu anasema mambo...

Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa ushindi waliyopata pata jana timu ya Biashara United dhidi yao haukustahili yalikuwa maamuzi ya ovyo yaliyofanywa na mwamuzi wa mechi...

Tetesi za soka barani Ulaya Alhamisi hii, kipigo cha Liverpool kumuondoa, Coutinho Barcelona, Juventus...

Mshambulaiji wa Brazil, Philippe Coutinho huwenda akawa mchezaji wa kwanza kuuzwa kutoka ndani kikosi cha Barcelona kufuatia kuondolewa kwa timu hiyo katika nusu fainali ya kombe la vilabu bingwa Ulaya...

Mourinho awalinganisha Barcelona na watoto wadogo U14, baada ya kipigo dhidi ya Liverpool ‘Watoto...

Aliyekuwa kocha wa klabu ya Real Madrid, Jose Mourinho amesema kuwa anashindwa kuamini kwa matokeo waliyopata Barcelona dhidi Liverpool kwenye mchezo wa nusu fainali ya Champions League uliyopigwa usiku wa...

Ole Gunnar awaomba radhi mashabiki wa United, ni baada ya kipigo kutoka kwa Everton

Meneja wa klabu ya Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer amewaomba radhi mashabiki wa klabu hiyo baada ya timu yake kukubali kichapo kizito cha goli 4-0 toka kwa Everton katika mchezo...

Most popular

Recent posts