37 C
Canada
September 10, 2019
Home Tags Na

Tag: na

Prezzo afuata nyayo za Jaguar, Professor Jay na Sugu, Ajitupa rasmi kwenye siasa (+video)

Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Kenya, Jackson Makini almaarufu kwa jina la Prezzo ametangaza rasmi kuingia kwenye siasa kwa kuchaguliwa nafasi ya kugombea ubunge katika jimbo la Kibra...

Vikosi vinavyoungwa mkono na Iran karibu na Syria vya shambuliwa, watekelezaji wa tukio hilo...

Mashambulizi ya angani yamepiga maeneo ya wapiganaji wanaoungwa mkono na Iran karibu na mpaka wa Syria na Iraq kulingana na wanaharakati.Shirika la haki za kibinadamu la Syrian Observatory for Human...

Harambee Stars yamiminiwa sifa kwa sare na UG – Taifa Leo

Na GEOFFREY ANENE WIKI tatu baada ya uteuzi wa Francis Kimanzi kuongoza timu ya taifa ya soka ya Kenya almaarufu Harambee Stars kuonekana kugawanya Wakenya, mashabiki mnamo Jumapili walikuwa wakiimba wimbo...

Changamoto za kulea mtoto aliye na mtindio wa ubongo – Taifa Leo

Na PAULINE ONGAJI MZIGO wa matatizo ya kiakili miongoni mwa watoto katika familia nyingi hapa nchini huwa mzito kiasi cha wengi kushindwa kustahimili. Ni masaibu ambayo familia ya James Maina Gacira, mkazi...

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi

Kwa miezi mitano mwaka 2017, kundi la kigaidi la Islamic State(IS) liliteka nyara mji wa Marawi uliopo kusini mwa Ufilipino. Miongozi mwa mateka wao, alikuepo padre wa kanisa katoliki, baba...

Most popular

Recent posts