Home Tags Viongozi

Tag: Viongozi

Naibu Rais, viongozi kadhaa tayari wamehesabiwa – Taifa Leo

Na CHARLES WASONGA MUDA wa saa kadha baada ya shughuli ya kitaifa ya kuhesabu watu, maarufu sensa kuanza rasmi Jumamosi saa kumi na mbili jioni, Naibu Rais William Ruto na Kiongozi...

SUDAN: Jeshi na muungano wa upinzani waunda serikali ya mpito, viongozi kuapishwa Jumatano hii

Viongozi wa kijeshi nchini Sudani na muungano wa makundi ya upinzani wameunda rasmi baraza huru litakaloiongoza nchi hiyo kurudi kwenye utawala wa kiraia.Baraza hilo litaiongoza Sudani katika kipindi cha mpito...

Barack Obama akosoa viongozi wenye kauli za kibaguzi, awataka Wamarekani kuwakataa watu wanamna hiyo

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amewataka Wamarekani kukataa lugha za chuki na kibaguzi kutoka kwa viongozi wao.Bw Obama amekuwa akiongea kwa nadra tangu alipoondoka madarakani, na japo hakumtaja...

Raila, viongozi wa kisiasa wajumuika kuifariji familia ya Ken Okoth – Taifa Leo

Na MAGDALENE WANJA KIONGOZI wa ODM Raila Odinga na Spika wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi pamoja na vingozi wengine wa kisiasa wamejiunga na familia ya aliyekuwa mbunge wa Kibra Ken...

Waziri Mwakyembe ageuka Mbogo sakata la TFF kumtimua kocha Amunike ‘Viongozi wa Shirikisho na...

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amewaomba viongozi wa TFF waeleze sababu za kumfukuza kazi aliyekuwa kocha wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike.Waziri Mwakyembe kulia kwenye...

Mataifa ya Marekani na Uingereza yawashiana moto, Viongozi wakuu waanza kurushiana maneno mitandaoni

Donald Trump amemkosea heshima waziri mkuu wa Uingereza, waziri wa maswala ya kigeni wa Uingereza Jeremy Hunt amesema. Matamshi yake yanajiri baada ya rais Trump kuimuita balozi wa Uingereza nchini...

Viongozi waitaka serikali kuwakumba vijana kwa kuwaajiri – Taifa Leo

Na LAWRENCE ONGARO VIJANA wamependekeza maslahi yao yazingatiwe na serikali wakati inaajiri watu. Seneta maalumu Bw Isaac Mwaura, alisema Jumanne kwa muda mrefu vijana wamewekwa kando inapofika wakati ajira zinapoendeshwa serikalini. Kwenye kongamano...

Most popular

Recent posts