Leo ni maadhimisho ya siku kuu ya Uhuru ambapo kitaifa inafanyika mkoani Mwanza katika uwanja wa CCM Kirumba.Benki ya NMB imeshiriki kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru wa miaka 58 yanayoendelea leo katika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza

 Source link