13.1 C
Canada
January 18, 2020
Home Tanzania News

Tanzania News

Mfanyabiashara maarufu nchini Mohammed Dewji (Mo)ametajwa kuwa miongoni mwa mabilionea 20 wa Afrika kwa ripoti ya mwaka 2020 licha ya utajiri wake kupungua kwa Dola milioni 300 (Sh692.67 bilioni).Katika orodha hiyo ya jarida mashuhuri la Forbes kwa mwaka huu limemtaja Mo mwenye miaka 44 kama bilionea namba 16 huku mfanyabiashara wa saruji, sukari na unga (Aliko Dangote wa...
Kocha wa Manchester United, Ole Gunner Solskjaer amethibitisha beki Harry Maguire kuwa nahodha wa kudumu wa kikosi hicho.Uamuzi huo wa Ole Gunnar unakuja mara baada ya aliyekuwa nahodha wa timu hiyo Ashley Young kutimukia katika klabu ya Inter Milan inayoshiriki ligi kuu nchini Italia.Ole ameongea hayo katika mkutano na waandishi wa habari akiongelea mchezo wao wa Jumapili kati...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mvua kubwa na upepo mkali katika baadhi ya maeneo ya Mikoa ya Lindi, Mtwara, DSM, Zanzibar na Pwani kwa muda wa siku tano kuanzia jana, athari zinazoweza kutokea ni pamoja na Makazi kuzungukwa na maji na ucheleweshwaji wa usafiri.Utabiri wa Hali ya Hewa hatarishi wa siku Tano na...
Rapper wa kike kutoka nchini Marekani, Belcalis Almanzar maarufu kwa jina la Cardi B, aliweka wazi nia ya kutaka kuingia kwenye masuala ya siasa siku tatu zilizopita.Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 27, alitumia ukurasa wake wa Twitter na kuweka wazi nia hiyo kwa ajili ya kutaka kupigania amani kwa wananchi.“Nadhani natakiwa kuwa mwanasiasa, naipenda serikali japokuwa mambo...
Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Juma Daniel  (30), kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Bahati Juma (2) kwa kutumia kitu cha ncha kali baada ya kujisaidia haja kubwa kitandani.Tukio hilo lilitokea usiku wa Desemba 27 mwaka jana maeneo ya Rubanga ‘A’, Kijiji cha Kazingati, Kata ya Keza, Tarafa ya Rulenge, Wilaya ya Ngara mkoani Kagera.Kamanda wa Polisi...
Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umetakiwa kuongeza jitihada katika kuwaelimisha wananchi kuhusu utekelezaji wa Sheria ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi ya mwaka 2003 pamoja na kuimarisha mifumo ya utoaji huduma kwa njia ya mtandao.Agizo hilo limetolewa na Katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Andrew Massawe, alipotembelea...
Muda wowote kuanzia sasa Mshambuliaji hatari wa klabu ya KRC Genk na timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta huwenda akatambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa timu ya Aston Villa inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza. Mbwana Samatta Hii leo vyombo mbalimbali vya habari duniani vimekuwa vikiandika usajili huu wa kijana wa Tanzania kutua Aston Villa kwa dau la pauni milioni 10. Kwa...
Mwanamuziki maarufu kutoka Marekani Aliaune Damala Bouga Time Puru Nacka Lu Lu Lu Badara Akon Thiam, Alimaarufu Akon, amethibitisha kwa kuameandika katika ukurasa wake wa twitter kuwa mipango yake ya kujenga mji wake nchini Senegal, nchi asili ya familia yake, inaendelea na amefikia katika hatua za mwisho za makubaliano ya ujenzi wa mji huo ambao unatarajiwa kupewa jina...
Msanii wa Bongo Fleva na C.E.O wa @kondegang @harmonize_tz amefunguka kiundani zaidi kuhusu Album yake anayotarajia kuiachia ya #AFROEAST ambayo amewashirikisha wasanii mbalimbali akiwemo Burna Boy, Yemi Alade na wengine.Mbali na hilo @harmonize_tz ameeleza matarajio yake ya kufanya kazi na @officialalikiba na kusema anatamani sana wasanii wengi wawepo kwenye Album yake lakini kuhusu @officialalikiba anatamani pia kufanya nae kazi na awepo kwenye Album hiyo ambayo anatarajia kuiachia...

Most popular

Recent posts