Home Videos

Videos

Tottenham yaeleza nia yao ya kumtaka kiungo wa klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno Bruno Fernandes, mwenye umri wa miaka 25, wakati dirisha la uhamisho litakapofunguliwa tena mwezi Januari (A Bola , via Mail)Manchester United watatakiwa kutumia paundi milioni 10 kama wanataka kusaini mkataba na Mcroatia anayecheza safu ya mashambulizi Mario Mandzukic, mwenye umri wa miaka 33, kutoka...
Rais wa klabu ya Sporting Lisbon kutoka nchini Ureno amethibitisha kuwa  anataka kubadili jina la uwanja wake Estadio Jose Alvalade wenye uwezo wa kubeba mashabiki 50,000 na kuupa jina la nyota wa klabu ya Juventus na taifa la Ureno Cristiano Ronaldo na kuitwa “Cristiano Ronaldo Arena au CR7 Arena”Ikumbukwe uwanja wa nyumbani wa Sporting Estadio Jose Alvalade, ulipewa...
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize ametangaza kuachia kolabo nyingine wiki ijayo na msanii kutoka Nigeria, Wizkid.Harmonize na WizkidHarmonize ambaye wiki hii alikuwa nchini Australia kikazi kwenye tamasha la AfroEast, Amethibitisha kolabo hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuahidi kuwa inatoka wiki lijalo.Tamasha la AfroEast limetumbuizwa kwa siku mbili katika miji ya Sydney na Melbourne nchini...
Mbao aina tofauti kutoka msitu wa chini ya maji nchini Ghana huenda ikatumika kujenga upya kanisa kongwe la Notre-Dame baada ya paa lake lake kuchomeka mwezi Aprili.Msitu mkubwa wa tropiki umekua ukikuzwa chini ya ziwa Volta tangu mwaka 1965, baada ya ujenzi wa bwala la Akosombo nchini Ghana kusomba sehemu ya ziwa Volta.Kampuni moja ya Ghana, iliyopewa zabuni...
Rais anayeondoka wa Baraza la Umoja wa Ulaya Donald Tusk ameiambia Uturuki kutowatumia wakimbizi kama silaha ya kuulaghai Umoja wa Ulaya kuhusiana na suala la Syria.Tusk amemkosoa vikali Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan kufuatia kitisho chake cha “kufungua milango” na kuwafukuza wakimbizi milioni 3.6 kama Umoja wa Ulaya utaiita operesheni yake nchini Syria kuwa ni “uvamizi”.Akizungumza na...
Mbunge wa Arusha Mjini kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, ametoa ofa ya magari 10 yatakayotumika kupigia matangazo ya hamasa kwa wananchi, kujitokeza kushiriki vyema katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.Mbunge wa Arusha Mjini Godbless LemaAkizungumza leo Oktoba 12, 2019 na EATV & EA Radio Digital, Lema amesema kuwa ameamua kutoa ofa hiyo baada...
Pundamilia mwengine mwenye ngozi ya kipekee ameonekana katika mbuga ya wanyama pori ya Masai Mara nchini Kenya. Picha zimeonyesha kwamba pundamilia huyo ana ishara kama za alibino , mistari ya myeupe na myeusi inaonekana katika shingo na miguu.Ripoti zinasema kwamba punda milia huyo amepewa jina la Manie baada ya mwelekezi wa safari kwa jina John Manie KiIpas aliyemuona...
Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed ameshinda tuzo ya amani ya ‘Nobel Peace Prize’ kwa mwaka 2019. Waziri mkuu huyo ametunukiwa tuzo kwa jitihada zake za kuleta amani na ushirikiano wa kimataifa.Mkataba wa amani ulisainiwa mwaka jana, mgogoro wa kivita na nchi jirani uliochukua karibu miaka 20 tangu mwaka 1998-2000 . Ahmed alitajwa kuwa mshindi wa 100 wa...
Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ameishambulia jumuiya ya Kimataifa kwa kuikosoa operesheni ya nchi yake kaskazini-Mashariki mwa Syria na kutishia kuwaachia mamilioni ya wakimbizi wakisyria waingie Ulaya.Akiwahutubia wanachama wa chama chake cha haki na maendeleo AKP mjini Ankara,rais Erdogan amesema Ikiwa Ulaya itaitaja operesheni yake hiyo kuwa ni uvamizi, watafungua milango na kuwaachia wakimbizi milioni 3.6 waelekee...
video
President Uhuru Kenyatta Met With with kenyans in Jamaica, This is What He told Them Follow & Subscribe Channel 7 News TV ... source

Most popular

Recent posts