Msanii wa Bongo Movie @duma_actor amempongeza Msanii mwenzake wa Bongo Movie @mlelandro kwa kugombaniwa na wanawake. Duma ambaye amedai kwamba Mlela amemzidi kwenye Tasnia amemshauri kuwa angefanya jambo la kistaarabu kwa kuwaoa wote @ebitoke na mwanamke wa sasa wa Mlela kwa siku moja na ingekuwa ndoa ya taifa.


Mbali na @duma_actor amesema kuwa kiki kwa wasanii zinasaidia sana huku akisema kutokuelewana kwake na @gabozigamba sio kiki na hajawahi kufanya kiki.

By Ally Juma.

Source link