Ripoti nchini Kenya zinasema kuwa jengo la ghorofa sita limeanguka asubuhi ya leo katika eneo la Embakasi jijini Nairobi, huku watu kadhaa wakihofiwa kunaswa chini ya kifusi cha jengo hilo.

Shughuli za uokoaji zinaendelea. Ripoti zinasema watu kadhaa wameokolewa na kukimbizwa hospitalini kwa ajili ya matibabu.

Watu wakishuhudia jengo lililoporomokaWatu wakishuhudia jengo lililoporomoka
Watu wanahofiwa kunasa kwenye kifusiWatu wanahofiwa kunasa kwenye kifusi

Taarifa zaidi kukujia hivi punde.Source link