Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka kwenye lebo ya Kings music iliyochini ya Alikiba Killy, ameachia video ya wimbo wake mpya GUBU akiwa amemshirikisha boss wake Alikiba.

Wimbo huo ukiwa umeshutiwa mkoani Tanga Lushoto na directer Ivan na producer wa wimbo huo akiwa ni Mocco wa Imagination soud.

By Ally Juma.Source link