Mtayarishaji wa muziki nchini Kenya, Magix Enga aliyepelekea video ya wimbo wa Harmonize UNO kufutwa Youtube sasa amehamia kwa msanii wa Nigeria Olamide akidai wimbo wake amesample beat ya wimbo wake.

Wimbo wa Olamide unaodaiwa kusample beat ni Motigbana

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika haya:-

By Ally Juma.

Source link