Coco Gauff binti wa miaka 15 ndiye mchezaji Tenis mdogo zaidi ambaye ameshinda taji la WTA baada ya kumzidi kete mpinzani wake Jelena Ostapenko katika fainali za michuano ya Linz Open nchini Australia kwa seti ya 6-3 1-6 6-2 siku ya Jumapili.

Coco Gauff won her first title Sunday by beating Jelena Ostapenko in Linz, Austria.

Coco alianza kupata umaarufu baada ya kumshinda mwanadada machachari katika mchezo wa Tennis Venus Williams.

Coco Gauff amewahi kuweka wazi mapenzi yake kwa wanafamilia Venus na Serena Williams ambao ndio wanamvutia na hutamani kuwa kama wao tangu akiwa mtoto.

Kinda huyo kunako Tennis, akitokea Florida ametangazwa kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kushinda taji la WTA tangu alivyofanya hivyo mwanadada, Nicole Vaidisova mwaka 2004.Source link