Baada ya Rayvanny kueleza kuwa ameibiwa wimbo na msanii kutoka mkoani Iringa anayefahamika kwa jina la Riser stars kuwa Serikali iingilie kati kuhusu hizi tuhuma zinazowahusu wasanii wakubwa kuwa wanaibiwa nyimbo zao na endapo huyo msanii ataendelea kulalamika kuwa wimbo ni wa kwake basi atamshitaki.

Leo tumepata nafasi ya kufanya mahojiano na msanii Riser Star ambaye ndio ametuhumiwa na kufunguka yafuatayo:-

By Ally Juma.Source link