Jutoni mkabatele mahala ambaye ni mvumbuzi wa alama 6 za barabarani kwa upande wa walemavu amezungumzia suala lake la kutokupata chochote licha ya kugundua alama 6 za barabarani, akiongea na Bongo5 mzee huyo ambaye ni mlemavu wa miguu amesema haya:-

By Ally Juma.

 Source link