25 C
Canada
December 10, 2019
Home Tags Cha

Tag: cha

Sonko akataa chakula cha polisi, alia anaumwa – Taifa Leo

Na RICHARD MUNGUTI GAVANA wa Nairobi Mike Sonko aliyeshtakiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya Sh381 milioni alikuwa anapelekewa chakula na vinywaji kutoka nyumbani kwake baada ya kukataa kula chakula cha polisi. “Mteja...

BASATA lampa Rosa Ree mwezi mmoja kulipa faini ya kiasi hiki cha fedha

Baraza la Sanaa la Taifa “BASATA”  limempunguzia adhabu rapa wa kike nchini, Rosa Ree kutokana na kumfingia miezi sita, na badala yakekuruhusiwa kuendelea na shughuli zake za kisanaa.Barua hiyo imemtaka...

Nape Nnauye, Mo, Zitto na wengine waguswa na kifo cha mfanyabiashara Ali Mufuruki

Kifo cha Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania na Mfanyabiashara, Ali Mufuruki aliyefariki Dunia akiwa Afrika Kusini kimewashitua...

Fahamu kisa hiki cha kusisimua kuhusu pambano la Mmexico And ruiz dhidi ya Muingereza...

Andy Ruiz amrushia busu mwanawe . Amekuwa bingwa wa dunia na kutupilia mbali hali mbaya ya maisha waliokuwa wakipitia. Mkufunzi wa Ruiz Manny Robbles anaonekana akibubujikwa na machozi, akielekeza vidole...

Umuhimu wa kujitengenezea chakula cha mifugo – Taifa Leo

Na SAMMY WAWERU UWEKEZAJI aliofanya Mhandisi Joseph O. Makolwal katika ufugaji wa ng’ombe wa maziwa, anaokadiria kuwa unaweza kufikia Sh4 milioni si jambo rahisi. Ikizingatiwa kuwa anafanya kazi ughaibuni, tegemeo lake kufanikisha...

Ahukumiwa kifungo cha miezi 25 jela kwa kuandika CV ya uongo ili kujipatia kazi

Mwanamke mmoja raia wa Australia amefungwa jela baada ya kukutwa na hatia ya kutengeneza CV ya uongo ili apate kazi serikalini ambayo atalipwa mshahara wa dola za kimarekani 185,000 kwa...

KCB inavyojiandaa kwa kipute cha voliboli – Taifa Leo

Na JOHN KIMWERE TIMU ya wanawake ya KCB inajiandaa kutifua vumbi kali kwenye kampeni za Voliboli ya Klabu Bingwa Afrika (CAVB) mwaka ujao. Wanabenki hao wa kocha, Japheth Munala na David...

Singida: Kijana aliyefanya utani wa kutaka kumuua Rais Magufuli, aambuliwa kifungo cha miaka 2...

MAHAKAMA ya Mwanzo ya Ipembe mjini Singida, imemhukumu mkazi wa mtaa wa Minga, Bahati Martin (39), kifungo cha miaka miwili jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kutamka maneno...

Most popular

Recent posts