28 C
Canada
November 12, 2019
Home Tags Duniani

Tag: duniani

Producer wa ngoma ya ‘Baba Lao’, S2kizzy ajibu tuhuma za ku-copy ngoma ya ‘Soapy’...

Mtayarishaji wa muziki nchini Tanzania, S2Kizzy ambaye ndiye aliyefanya ngoma ya ‘Baba Lao’ amefunguka kuhusu ku-copy ngoma ya ‘Soapy’ ya Naira Marley kwa kusema kuwa walikuwa ‘inspired’ na ngoma hiyo.Akijibu...

RIPOTI: Nchi 13 zinazoongoza kwa mauaji ya waandishi wa habari duniani zatajwa, Somalia kinara

Ripoti hiyo inayojulikana kama Global Impunity Index imeonesha katika kipindi kati ya Septemba 1, 2018 hadi Agosti 31, 2019, Somalia inaongoza katika orodha hiyo kwa mwaka wa tano mfululizo, Ambapo kwa...

AFYA: Yafahamu magonjwa manne mapya duniani yanayosababishwa na ngono uzembe, Vijana wapo hatarini zaidi

Kwa sasa duniani magonjwa mapya huibuka kila siku, Na magonjwa mengi ni yale ya kuambukizana na ndio yenye changamoto zaidi kuyakabiri kwa sababu kutokana ya usiri wa waathirika.Leo tumekuletea bakteria...

Lifahamu daraja la kutisha zaidi duniani lililofungiwa kutumika China – Video

Hatua hiyo imeathiri mkoa wa Hebei pekee. Mapema mwaka huu, serikali iliagiza mamlaka katika mkoa huo kufanya “uchunguzi wa kiusalama” kuhusu mradi wa ujenzi wa kutumia vioo.Katika mtandao wa kijamii...

AFYA: Fahamu aina za Kansa/Saratani, Dalili na tiba zake, Inatajwa kuwa moja ya magonjwa...

Kansa au Saratani ni neno lililotolewa kwenye kundi la magonjwa yanayosabahiana. Kuna aina tofauti zaidi ya 100 ya magonjwa yanayoitwa kansa au saratani. Katika aina zote hizi za saratani, baadhi...

Kanye West ajigamba “Mimi ndio msanii mkubwa zaidi duniani kwa sasa” – Video

Kama kuna kitu ambacho mwanamuziki wa Marekani wa miondoko ya Rap Kanye West anajivunia kuwa nacho ni kujiamini.Aliwahi kujiita “mbunifu wa hali ya juu” na kuongeza kuwa “muziki wake ni...

Tanzania yapanda nafasi 3 katika nchi 190 duniani zenye urahisi wa kufanya biashara

Tanzania imeshika nafasi ya 141 kati ya nchi 190 duniani zenye urahisi wa kufanya biashara na uwekezaji hiyo ni kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Benki ya Dunia. Kwa Afrika Mauritus...

Forbes wataja maeneo 20 yakutembelea duniani kwa mwaka 2020, Afrika Mashariki yatoa jiji moja...

Jarida maarufu duniani la Forbes kushirikiana na kampuni ya utalii ya Ovation Travel Groups imetaja maeneo 20 bora zaidi  yakutembelea kwa mwaka 2020.Kwenye orodha hiyo Afrika Mashariki imetoa Jiji moja...

Makocha 200 duniani waomba kazi Taifa Stars, wengine waamua kupiga simu TFF, mbivu na...

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amefunguka juu ya taarifa za kutangazwa kwa kocha mpya wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’ atakayechukua nafasi ya Etienne...

Most popular

Recent posts