Home Tags Kipigo

Tag: kipigo

Bondia wa Marekani, Patrick Day mahututi baada ya kuchezea kipigo, atolewa ulingoni kwa machela

Bondia wa Marekani Patrick Day yupo mahututi baada ya kupigwa akiwa ulingoni katika roundi ya 10 na mpinzani wake Charles Conwell.Patrick mwenye miaka 27 alipata majeraha makubwa katika ubongo hali...

Spurs yala kipigo kikali Uefa – Taifa Leo

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza KOCHA Mauricio Pochettino amekiri kwamba vijana wake wa Tottenham Hotspur walionekana kukata tamaa mwishoni mwa mechi ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) kabla ya kucharazwa 7-2 na Bayern Munich...

Ole Gunnar kitu cha moto, Manchester United yapokea kipigo takatifu kutoka West Ham United,...

Mikwaju ya Andriy Yarmolenko na Aaron Cresswell yameipatia West Ham ushindi wa pili nyumbani dhidi ya Manchester United, wanaosaia bila ya ushindi wa ligi ugenini tangu mwezi Februari.Yarmolenko alifungua kwa...

Liverpool wafungua pazia la Ligi Kuu England kwa kipigo

Klabu ya Liverpool imeshindwa kufurukuta mbele ya mabingwa watetezi wa EPL, Man City kwa kukubali kichapo cha goli 5-4 kwenye mchezo wa ngao ya jamii.Man City walionekana kutawala mchezo huo...

COPA AMERICA: Baada ya kipigo cha goli 2-0 cha Argentina dhidi ya Brazil, Lionel...

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi amewatolea uvivu waamuzi pamoja na wasimamizi wa mchezo wa leo usiku dhidi ya Brazil, Kwa kuwambia kuwa walishindwa kuchezesha mchezo huo...

Pierre Liquid atua Bongo kinyonge baada ya kipigo cha Taifa Stars dhidi ya Senegal...

Shabiki wa Taifa Stars, Pierre Liquid ni mmoja kati ya waliomo kwenye msafara wa wabunge waliorejea nchini leo kutoka Misri walikokwenda kuipa nguvu timu hiyo katika fainali za AFCON2019.Baadhi ya...

UGANDA: Afisa usalama barabarani atinga mahakamani kumshitaki Meja Generali, adai fidia ya Milioni 200...

Afisa wa polisi mwanamke wa Uganda anayedaiwa kushambuliwa na Meja Generali Matayo Kyaligonza na walinzi wake wawili amefika mahakamani kuomba apewe fidia ya shilingi za Uganda milioni 200.Picha inayodaiwa kuwa...

Baada ya kupokea kipigo, Anthony Joshua ashauriwa kumtimua kocha wake, Rob McCracken ‘Huwezi kuwa...

Bondia wazamani wa uzito wa juu na bingwa wa dunia, Lennox Lewis amemwambia mwanamasumbwi, Anthony Joshua kuwa aachane na mwalimu wake ambaye anamfundisha, Rob McCracken kutokana na mchezaji huyo kupokea kichapo...

Bondia Anthony Joshua apigwa KO ya kwanza Marekani, Avuliwa mikanda yake yote ya ubingwa,...

Bondia Anthony Joshua amepokea kipigo kitakatifu cha TKO kutoka kwa Andy Ruiz Jr katika raundi ya saba kwenye mchezo uliokuwa unasubiriwa kwa hamu.Mchezo huo uliopigwa alfajiri ya kuamkia leo Juni...

Real Madrid wamaliza La Liga kwa kipigo nyumbani kwao, Zidane amfyatukia Bale na kutangaza...

Klabu ya Real Madrid wamefunga msimu wa 2018/19 kwa kukubali kipigo nyumbani cha goli 2-0 dhidi Real Betis na kuwafanya kumaliza na alama 68, Na kuweka rekodi kwa mara ya...

Most popular

Recent posts