26 C
Canada
September 22, 2019
Home Tags Mamilioni

Tag: mamilioni

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo September 09 amemkabidhi Mlinda Mlango wa Timu ya Taifa ya Tanzania Juma Kaseja kitita cha Shilingi Milioni 10 taslimu...

Brazil yageukia mamilioni ya nchi za G7, yasema sasa ipo tayari kuyapokea

Brazil imesema jana kwamba iko tayari kupokea msaada wa kigeni wa kusaidia kuzima moto katika msitu wa Amazon, lakini ikiwa itaweza kuamua jinsi ya kuzitumia fedha hizo.Taarifa hiyo imetolewa na...

Brazil yakataa mamilioni ya nchi za G7, yadai mataifa hayo yanalengo la kuwanyang’anya msitu...

Serikali ya Brazil imetangaza kususia msaada wa fedha kutoka nchi za G7 zinazolenga kupambana na moto wa nyika katika msitu wa Amazon.Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron – ambaye aliandaa mkutano...

Benki ya Dunia yamwaga mamilioni Nakuru kufadhili kilimo – Taifa Leo

NA RICHARD MAOSI Wakulima Kaunti ya Nakuru Jumanne walipokezwa kitita cha Sh9.5 milioni na Benki ya Dunia ili kuanzisha miradi ya kujiendeleza kimaisha. Walikongamana katika eneo la Soilo mjini Nakuru, ambapo walijadili...

Ole wao walioficha mamilioni – Taifa Leo

Na BERNARDINE MUTANU na BENSON MATHEKA SERIKALI imechukua hatua ya kukabiliana na watu walioficha manyumbani mwao pesa wanazopata kupitia ufisadi na ulanguzi wa fedha kwa kufutilia mbali noti za Sh1,000 na...

Makosa ya herufi yagunduliwa katika mamilioni ya noti Australia, neno ‘responsibility’ lakosewa na kuzua...

Noti mpya nchini Australia ya dola 50 imechapishwa ikiwa na makosa ya herufi, ambayo inatazamwa kuwa aibu.Benki ya akiba ya Australia (RBA) imeandika neno “responsibility” yaani jukumu au wajibu hivi...

Most popular

Recent posts