Home Tags Mtoto

Tag: mtoto

Mama afariki baada ya kujirusha kwenye gari la wagonjwa kisa kifo cha mtoto wake

MWANAMKE Naiso Leslie (26) amefariki baada ya kuruka kutoka kwenye gari la wagonjwa baada ya mtoto wake Solomon Lesie (2) kufariki akiwa njiani kwenda Hospitali ya Rufaa ya Kajiado.Mvulana huyo...

KAGERA: Baba adaiwa kumuua mtoto wake mwenye miaka miwili baada ya kujisaidia kitandani

Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Juma Daniel  (30), kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Bahati Juma (2) kwa kutumia kitu cha ncha kali baada ya kujisaidia haja kubwa kitandani.Tukio...

Tausi apata mtoto ”Am proud to be a mom”

Msanii wa filamu na vichekesho nchini, Tausi ameweka wazi kuwa amepata mtoto baada ya kuposti picha mbili moja ikimuonyesha akiwa na ujauzito wakati nyingine ikiwa ni kipande cha mkono tu...

Baba wa kambo amkatakata mapanga mtoto wa miaka mitatu na kumtenganisha viungo vya mwili,...

Jeshi la Polisi Mkoani Kagera linamshikiria Leonard Kishenya (36) kwa tuhuma za kumuua mtoto wa mke wake wa miaka mitatu kwa kumcharanga mapanga na kumtenganisha viungo vyake.Kamanda wa Polisi wa...

China: Mtoto wa kike wa Bruce Lee aushtaki mgahawa wa chakula 

SHANGHAI: Kampuni inayo simamiwa na mtoto wa kike wa Bruce Lee ambaye ni Shannon Lee, imeushtaki mgahawa mmoja maarufu nchini China kwa kutumia picha ya mfalme huyo wa mapigano ya Kungfu.Kampuni...

Ujumbe wa mama Kabendera akimuomba Rais Magufuli amsamehe mtoto wake – Video

Mama Erick Kabendera, anayejulikana kwa jina la Verediana Mjwahuzi, ametoa ombi hilo jana Disemba 13, 2019, na kusema kuwa Erick ndiye mtoto pekee aliyekuwa akimsaidia katika huduma zake za matibabu...

Slovenia: Nyota wa Nigeria atimuliwa klabuni baada ya kumpa ujauzito mtoto wa rais wa...

Mchezaji wa soka raia wa Nigeria jina lake halijawekwa wazi ametimuliwa na klabu yake inayoshiriki ligi daraja la pili nchini Slovenia baada ya kumpa ujauzito binti wa rais wa klabu...

Rayvanny aweka wazi kuachana na mama mtoto wake Fahym ” Kuna vitu lazima mwanaume...

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Rayvanny amefafanua kuhusu taarifa zinazoenea kuhusu kuachana na mama mtoto wake Fahym na kueleza kuwa kama vitu vinavyoonekana ndivyo vilivyo.lakini Rayvanny aliongeza kuna vitu...

Most popular

Recent posts