25 C
Canada
December 10, 2019
Home Tags Na

Tag: na

Uongozi wa klabu ya Yanga yathibitisha kuwa na deni la zaidi ya mil 200,...

Msolla amesema gharama za kuendesha timu ni kubwa, kuliko mapato yanayoingia, huku wakiwa wamerithi madeni makubwa kutoka katika uongozi uliopita ambayo inabidi yalipwe au kupunguzwa kadri inavyowezekana.“Nimeamua kuja kwenu Waandishi...

Balozi wa Marekani alivyolia na kushindwa kuongea mbele ya umati mkubwa wa watu, wakati...

Mwili wa Mfanyabiashara Ali Mufuruki umeaagwa leo Disemba 10, 2019 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam, baada ya mwili wake kuwasili jana kutokea...

New Zealand: Watu watano wamepoteza maisha na wengine 31 kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko...

Polisi nchini New Zealand imesema hakuna dalili ya kuwapata manusura baada ya mlipuko wa volkano kutokea siku ya Jumatatu. Mlipuko wa volkano nchini New Zealand, umesababisha kifo cha mtu mmoja...

Urusi na Ukraine kumaliza uhasama, Rais Putin na mwenzake Zelensky wakubaliana mambo haya

Urusi na Ukraine wanataka kuwepo na usitishwaji kabisa wa mapigano mashariki mwa Ukraine ifikiapo mwishoni mwa mwaka huu wa 2019.Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky (kushoto) na Vladimir Putin (kulia)Haya yamebainika...

Ndege ya kijeshi ya Chile yatoweka na watu 38

Ndege ya kijeshi iliokuwa na abiria 38 imetoweka ikielekea Antarctica, kulingana na taarifa ya jeshi la wanahanga wa Chile.Ndege hiyo kwa jina C-130 Hercules ilitoweka mwendo wa saa kumi na...

Ray Kigosi kuhusu Kanumba “Namuombea sana kwa mungu ampumzishe mahale pema, ipo siku mungu...

Ray Kigosi azungumza kwa uchungu kuhusu aliyekuwa rafiki yake marehemu kwa sasa Steven Kanumba na kusema  “Namuombea sana kwa mungu ampumzishe mahale pema, ipo siku mungu atanichukua na ntakutana nae...

Inatukera sana kuona hela zetu zikitafunwa na mafisadi – Walemavu – Taifa Leo

Na SAMMY KIMATU MAKUMI ya walemavu walikongamana katika ukumbi wa kanisa la Katoliki la Soweto kwenye mtaa wa Kayole ulio katika Kaunti ndogo ya Embakasi Mashariki, Kaunti ya Nairobi. Aidha, walikuwa wakisherehekea...

Most popular

Recent posts