10.9 C
Canada
January 22, 2020
Home Tags Rais

Tag: Rais

Burna boy azidi kupasua anga, Mke wa rais mstaafu wa Marekani Michelle Obama autaja...

Msanii kutoka nchini Nigeria Damini Ebunoluwa Ogulu alimaarufu Burna boy anazidi kuimarika kimuziki duniani kwani amekuwa miongoni mwa wasanii kutoka barani Afrika ambayo muziki wao unasikilizwa sana duniani.Ikiwa wiki kadhaa...

Marekani: Jopo la Mawakili lamtetea Rais Trump, ladai ni njama ya uchaguzi wa 2020

Jopo la mawakili wa rais wa Marekani Donald Trump kwa mara ya kwanza limetoa majibu rasmi kuhusiana na mashtaka dhidi yake likitaja kuwa “vita vikali” dhidi ya demokrasia.Taarifa yao ilisema...

Rais Mstaafu Kikwete asajili laini yake kwa alama za vidole kabla ya tarehe ya...

Rais wa Awamu ya 4, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo Januari 18, 2020 amesajili laini yake kwa njia ya kieletroniki, huku akiwahasa Watanzania wengine kujitokeza kushiriki zoezi hilo, kwa kuwa...

Rais wa FIFA, Gianni Infantino amtumia salamu Wallace Karia

Rais wa shirikisho la soka Duniani FIFA, Gianni Infantino amemtumia salamu za pongezi rais wa TFF, Wallace Karia kwa kuchaguliwa kuwa rais wa Cecafa The post Rais wa FIFA, Gianni Infantino...

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta afanya mabadiliko baraza la mawaziri Wanawake wachukua nafasi muhimu...

Rais wa Kenya aUhuru Kenyatta amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika hotuba yake ya kwanza katika mwaka wa 2020 aliyoitoa kwenye Ikulu ya Rais Mombasa.Katika mabadiliko hayo, wanawake wameonekana...

Rais Magufuli awakataza Mabalozi kuaga aga ovyo”Ikiwezekana ndani ya wiki 2 muwe mmeshaenda kwenye...

Rais Magufuli ameyabainisha hayo leo Januari 14, 2020, mara baada ya zoezi la kuwaapisha Mabalozi wa nchi nne ikiwemo Zimbabwe, Nigeria, Afrika Kusini pamoja na Namibia, hafla iliyofanyika Ikulu ya...

Rais Magufuli “Mtu akizungumza amepotea huyu, atakuwa na ushahidi mkamateni” (+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewaagiza Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuwashughulikiwa wale wote wanaopotosha na kudharau vyombo hivyo katika kazi yake.Ameyasema hayo alipokuwa...

Most popular

Recent posts