14.3 C
Canada
January 29, 2020
Home Tags RPC

Tag: RPC

“Kulewa na kupindukia ni kosa la jina, akikamatwa mtu amelewa kupindukia atakamatwa na kupelekwa...

Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Songwe, George Kyando amewaonya watu wanaokunywa Pombe kupita kiasi kwenye Mkoa huo, na kusema jeshi hilo halitawavumilia watu hao litawafikisha mahakamani. Kamanda wa Polisi Kyando ametoa...

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhandisi Hamad Masauni, aagiza RPC huyu...

Kwa mujibu wa Mhandisi Masauni amemuagiza pia Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, kuwaondoa ma RPC wote  wawili kisiwani Pemba kwa makosa ya kushindwa kutekeleza Mradi wa...

Rais Magufuli ampa makavu RPC Muroto “Nikwambie ukweli, hujanifurahisha”

Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli Ijumaa hii ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa nyumba 118 za makazi ya Askari wa Jeshi la Polisi katika eneo...

RPC Dodoma atangaza vita na watu wanaouza mafuta kiholela, 45 waingia kwenye anga zake

Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limetangaza msako mkali wa kuwakamata watu wanaouza mafuta kinyume cha taratibu, Hii ni baada ya watu 45 kukamatwa na Jeshi hilo wakifanya biashara hiyo kando...

RPC akanusha vifo vya watu 8 kwa ajali ya gari Arusha

Arusha. Siku moja baada ya kuenea kwa taarifa katika mitandao ya kijamii juu ya ajali iliyohusisha magari madogo mawiii katika eneo la Oldonyosambu jijini Arusha Kamanda wa Polisi mkoani humo...

RPC Muroto azuia maandamano ya ACT ‘atakayeandamana atapigwa hadi achakae’

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amewatahadharisha waliopanga kufanya maandamano kesho Jumanne Aprili 9, 2019 akisema watakaoingia barabarani watapigwa na kuchakaa.Kamanda Muroto amewaambia waandishi wa habari jijini Dodoma...

Most popular

Recent posts