14.1 C
Canada
January 22, 2020
Home Tags Usajili

Tag: usajili

BASATA lamfutia usajili Dudu Baya ”Onyo kwa taasisi, kampuni na mtu yeyote kutofanya kazi...

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa nchini limemfutia usajili msanii Godfrey Tumaini maarufu kama Dudu Baya kutojihusisha na shughuli zozote za sanaa kuanzia...

Tetesi za usajili barani Ulaya Ijumaa hii ya mwisho kwa mwaka 2019, wanao waniwa...

Chelsea inamtaka winga a PSG, Julian Draxler, 26 na kiungo wa kati wa Senegal mwenye umri wa miaka 30 Idrissa Gueye. (Star)Wakala wa kiungo wa kati wa Arsenal, Xhaka nasema...

Zidane na ndoto zake za Pogba ziko pale pale, Chelsea kuvunja rekodi yao ya...

Manchester United wanaweza kumsajili kocha wa timu ya taifa ya England Gareth Southgate endapo watamtimua Ole Gunnar Solskjaer mwishoni mwa msimu. (Sun)  Kocha msaidizi wa United Mike Phelan amesema klabu hiyo bado...

Wanaozungumzwa katika usajili barani Ulaya Jumatano hii, Raheem Sterling, Sergio Aguero na wengine

Manchester City imeanza mazungumzo kuhusu mkataba mpya na mshambuliaji wa kimataifa wa England Raheem Sterling, 24. (Mirror)Mkufunzi wa Leipzig, Julian Nagelsmann na Jose Mourinho wanapigiwa upatu kuchukua nafasi ya Mauricio...

Mbappe kuweka rekodi ya karne, atakaye fikia dau lake la usajili awe kidume kweli,...

Real Madrid wanaangalia uwezekano wa kutoa malipo makubwa kuwahi kushuhudiwa ya pauni milioni 340 kwa ajili ya mchezahi wa safu ya mashambulio wa Paris St Germain mwenye umri wa miaka...

Wanaozungumzwa zaidi katika usajili barani Ulaya hawa hapa, baba wa Neymar asisitiza hili kwa...

Manchester United inaweza kushawishika kujaribu kumrejesha tena mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic ndani ya Old Trafford.Ibrahimovic mwenye umri wa miaka 38 mchezaji wa kimataifa wa Sweden atakuwa huru kutokana na kwamba mkataba...

Tetesi za usajili Ulaya: Manchester United wamgeukia Zlatan, Liverpool yamsaka N’golo Kante kwa nguvu...

Manchester United wameweka wazi kuwa kumsajili mshambuliaji ni kipaumbele katika dirisha dogo la usajili mwezi Januari na wameelekeza macho yao kwa mshambuliaji wao wa zamani Zlatan Ibrahimovic, 38. (Daily Express) Timu...

Naibu Waziri wa Elimu Ole-Nasha, atoa maagizo NACTE ya kuvifutia usajili Vyuo hivi

Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Technolojia William Ole-Nasha, ameliagiza Baraza la Taifa la Elimu na ufundi (NACTE) kuvifutia usajili vyuo vyote vinavyosajili wanafunzi feki.Pia alitaka baraza hilo, kuvichukulia hatua...

Vuguvugu laanza Manchester United, baadhi ya wachezaji yadaiwa kumgomea Ole Gunnar,yeye aomba kuongezewa hela...

Mkufunzi wa Man United Ole Gunnar Solskjaer anahofia kwamba hatma ya kazi yake itakuwa haijulikani iwapo timu yake itashindwa kwa mabao mengi ugenini Liverpool.(Mail)Baadhi ya wachezaji wamepoteza matumaini na raia...

Most popular

Recent posts