Tag: Utafiti
Utafiti waonyesha uongo ndio kitu kinachoiunganisha jamii, Fahamu zaidi
Kwa binaadamu imegundulika kwamba uongo huenda ndio jambo linalotuunganisha pamoja kijamii. Na licha ya kwamba hawawezi kuficha uongo wanapofanyiwa ukaguzi kwa mashini ya kutambua uongo, huenda kuna mbinu ndogo inayoweza...