10.9 C
Canada
January 22, 2020
Home Tags Vya

Tag: vya

Imeelezwa rubani wa ndege iliyoanguka iliyokuwa imembeba mchezaji Emiliano Sala, hakuwa na vigezo vya...

Rubani wa ndege iliyoanguka wakati ikiwa na mchezaji Emiliano Sala, anaelezwa hakuwa na vigezo vya kurusha ndege wakati wa usiku, BBC imeelezwa. David Ibbotson anaelezwa kuwa na tatizo la kutotofautisha...

Samia atoa neno shule za kukuza vipaji vya soka

By Aurea Simtowe, Mwananchi Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametaka shule za kukuza vipaji kwa vijana ziwekwe katika hali nzuri ili kuweza kutayarisha wachezaji...

DC aviachia vyombo vya dola madai ya dereva wake kumpa rushwa

By Mussa Juma na Daniel Mjema, Hai. Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya amepewa dereva mwingine baada ya kumkabidhi katika vyombo vya dola yule wa awali kwa ajili...

Anakuza vipaji vya uvumbuzi – Taifa Leo

Na PAULINE ONGAJI KATIKA zama hizi ambapo vijana wanahimizwa kuwa wabunifu na kujiundia nafasi za ajira, wengi wameimarisha vipaji vyao vya uvumbuzi. Hasa wengi wamejitosa katika sekta ya uvumbuzi wa kiteknolojia na...

Siri kuhusu Mourinho kutorudishwa tena Madrid na baayake Zidane kurudi yatolewa, yadaiwa sababu ni...

Baada ya jana jioni klabu ya Real Madri kumtangaza kocha mpya na kuchukua nafasi ya Santiago Solari, hali ya kuwa Murinho ndio alipewa nafasi kubwa ya kurudi Bernabu.Sababu za Mourinho...

Mbunge apendekeza vituo zaidi vya kurekebisha tabia, maadili Kiambu – Taifa Leo

Na SAMMY WAWERU KILA kaunti ndogo Kiambu inapaswa kuwa na kituo cha kurekebisha tabia na maadili, amesema mbunge Mwakilishi wa Wanawake, Gathoni Wa Muchomba. Kulingana na mbunge huyu ni kwamba hatua hii...

Baada ya kukumbwa na sakata la kuwalawiti watoto wadogo, Michael Jackson zaidi ya vituo...

Baada ya familia ya Michael Jackson kuishtaki kampuni ya televisheni ya HBO kwa kuvunja makubaliano ya mwaka 1992. Michael na HBO walisaini mkataba wa siri (NDA) mwaka huo kwa ajili ya...

Most popular

Recent posts