16.7 C
Canada
January 16, 2020
Home Tags Zaidi

Tag: zaidi

Harmonize alamba dili nono, Ntafanya show Tanzania nzima “Kigoma napatamani sana, ntafanya tukio kubwa...

Msanii wa Bongo Fleva na C.E.O wa @kondegang @harmonize_tz alamba dili nono kutoka kinywaji cha SAYONA. Akiongea na waandishi wa habari mapema hivi leo @harmonize_tz ameeleza jinsi alivyotoa mawazo yake katika kampuni hii...

Sekta ya mawasiliano ya simu nchini ina mafanikio makubwa lakini tusibweteke tuboreshe zaidi

Msimu wa shamrashamra za sikuku za mwisho wa mwaka umefika ukingoni na sote tunaishukuru sana teknolojia ya mawasiliano ambayo hakika imechangia kusaidia mawasiliano yetu na wale tuwapendao, katika msimu huu....

Australia kuwaua wanyama aina ya Ngamia zaidi ya 10000, Sababu zaelezwa – Video

Maelfu ya Ngamia kusini mwa Australia watauawa kwa risasi kutoka kwenye helikopta kutokana na kuwepo kwa joto kali na ukame. Zoezi hilo la siku tano limeanza Jumatano, jamii ya eneo...

Diamond avunja ukimya autaja wimbo wa Alikiba anaoupenda zaidi, ajirekodi akiimba – Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa Wasafi Media @diamondplatnumz amerekodi video na kupost kwenye Insta Story kwenye ukurasa wake wa Instagram akiusikiliza wimbo wa @officialalikiba #HADITHI na kusema kuwa ndio wimbo...

Nigeria: Jacqueline Mengi aongoza orodha ya Wanawake 30 warembo zaidi wa Afrika kwa muongo...

Mtandao wa masuala ya mitindo na urembo wa nchini Nigeria, stylerave umetoa orodha ya wanawake 30 warembo zaidi wa Afrika kwa muhongo huu ambapo mjasiriamali Mtanzania, Jacqueline Mengi  ameongoza katika...

Diamond, Harmonize pamoja na Nandy ndio wasanii waliosikilizwa zaidi 2019

Jukwaa namba moja kwa huduma ya kupakua muziki barani Afrika, Boomplay imemtaja msanii Diamond Platnumz, kuwa ndio mwanamuziki aliyesikilizwa zaidi Tanzania, kulingana na taarifa rasmi za muziki mwaka 2019.Taarifa hiyo...

Wadau wa soka watamani kuona timu zaidi za Pwani zikishiriki KPL – Taifa Leo

Na ABDULRAHMAN SHERIFF WAKATI ambapo imebaki siku moja pekee kuukamilisha mwaka 2019, mashabiki wa kandanda wa ukanda wa Pwani wanajiuliza maswali mengi kuhusu iwapo mchezo huo umeimarika ama unaendelea kudidimia. Washikadau kadhaa...

Diamond, Nandy watikisa Tanzania 2019 kwa kusikilizwa zaidi

App namba moja kwa huduma ya muziki barani Afrika, Boomplay imemtaja msanii Diamond Platnumz, kuwa ndio mwanamuziki aliyesikilizwa zaidi Tanzania, kulingana na taarifa rasmi za muziki mwaka 2019.Taarifa hiyo iliyowekwa...

Most popular

Recent posts