21.7 C
Canada
November 11, 2019
Home Tags Zidane

Tag: Zidane

Kocha wa Tottenham Pochettino ahofia kufukuzwa kazi kwa matokeo mabovu, Zidane asema anataka kusalia...

Meneja wa Tottenham, Mauricio Pochettino, anasema kuwa anahofia kufutwa kazi kutokana na matokeo mabaya ya klabu hiyo (Mirror)Juventus na Atletico Madrid zinamfuatilia beki wa West Brom wa miaka 19, Nathan...

Zidane ajitapa baada ya kukutana na Pogba Dubai “Nilichoongea naye ni siri yangu” Ole...

Ole Gunnar Solskjaer alisema”Sasa tunaendeshwa na picha! Sijamsikia Paul Pogba akisema hataki kuwa hapa. Paul anataka kukaa hapa na kucheza vizuri.” “Paul ni sehemu ya mpango wetu kwenda mbele na...

Tetesi za usajili barani Ulaya Moura, Dier, Haaland, Pogba na sokoni Zidane aanza kujitetea

Mchezaji wa kiungo cha mbele wa Tottenham Lucas Moura, mwenye umri wa miaka 27, na mchezaji wa kiungo cha kati Eric Dier, aliye na miaka 25, wapo juu kwenye orodha...

Chokochoko za Zidane kumpisha Mourinho Madrid zaanza, Mourinho akataa

Miezi sita iliopita Zinedine Zidane alikuwa akitabasamu alipozungumza kuhusu kufurahia kurudi nyumbani baada ya kurudi kama mkufunzi wa Real Madrid.Lakini tabasamu hiyo imepotea mara moja kufuatia msururu wa matokeo mabaya...

Tetesi za usajili barani Ulaya, Zidane hali tete Madrid kuongezewa kitita kingine, Mane kuongezewa...

Klabu ya Real Madrid itawapasa watoe kitita cha euro milioni 80 wakitaka kumfuta kazi kocha wao Zinedine Zidane. Zidane amekuwa kwenye shinikizo kubwa kutokana na timu hiyo kutofanya vizuri. (Sport)Barcelona...

Tetesi za usajili barani Ulaya Pogba na manchester mambo safi, Zidane Van Dijk, Sancho...

Manchester United inatumai kumshawishi mchezaji wa kiungo cha kati mwenye umri wa miaka 26 Paul Pogba kusaini mkataba mpya. Mchezaji wa kiungo cha kati wa England Jesse Lingard, mwenye umri...

Most popular

Recent posts