Meneja wa zamani wa Juventus Massimiliano Allegri angependelea mchezaji wa zamani wa safu ya ulinzi Manchester United Patrice Evra kujiunga na makocha wasaidizi katika Old TraffordHaki miliki ya picha
Getty Images

Image caption

Meneja wa zamani wa Juventus Massimiliano Allegri angependelea mchezaji wa zamani wa safu ya ulinzi Manchester United Patrice Evra kujiunga na makocha wasaidizi katika Old Trafford

Meneja wa zamani wa Juventus Massimiliano Allegri angependelea mchezaji wa zamani wa safu ya ulinzi Manchester United Patrice Evra – ambaye alimfunza katika Turin -kujiunga na makocha wasaidizi katika Old Trafford ikiwa atateuliwa kuwa meneja wa timu hiyo. (Daily Mail)

Unaweza pia kusoma:

Mmiliki mwenza wa Manchester United Kevin Glazer,ambaye ni mmoja wa ndugu sita wanaoendesha klabu hiyo anatarahia kuuza asilimia 13% ya hisa zake katika Red Devils. (The Sun)

Image caption

N’Golo Kante,

Kocha wa zamani wa Chelsea boss Maurizio Sarri anamtaka difenda wa zamani wa Chelsea Emerson Palmieri, mwenye umri wa miaka 25, na kiungo wa kati wa Mfaransa N’Golo Kante, mwenye umri wa miaka 28, kuondoka Stamford Bridge kuelekea Juventus. (Daily Express)

  • Tetesi za soka Ulaya Jumatatu tarehe 14.10.2019

Milan wanaangalia uwezekano wa kumnunua kiungo wa kati wa Arsenal mwezi Januari Mmisri Mohamed Elneny, mwenye umri wa miaka 27, ambaye kwa sasa anacheza kwa deni katika Besiktas. (Gazzetta – in Italian)

Haki miliki ya picha
Getty Images

Image caption

Milan wanaangalia uwezekano wa kumnunua kiungo wa kati wa Arsenal mwezi Januari Mmisri Mohamed Elneny

Meneja wa Arsenal Unai Emery hatalazimika kuvunja kipengele katika mkataba aliosaini mwaka 2018 mwishoni mwa msimu. (The Athletic, via Express)

  • Tetesi za soka Ulaya Jumapili 13.10.2019

Meneja wa zamani wa Tottenham Harry Redknapp anasema Mauricio Pochettino atakuwa “mjinga ” kuondoka katika klabu yake kwa ajili ya kujiunga na Manchester United, ambayo anaamini “inaweza kuchukua miaka ” kuijenga upya . (Mirror)

Haki miliki ya picha
Getty Images

Image caption

Manchester United wanamatumaini kuwa Juventus itakubali pauni milioni £9m kwa ajili ya Mshambuliaji wa Mcroasia Mario Mandzukic

Manchester United wanamatumaini kuwa Juventus itakubali pauni milioni £9m kwa ajili ya Mshambuliaji wa Mcroasia Mario Mandzukic mwenye umri wa miaka 33 . (Goal.com)

  • Eliud Kipchoge: Anataka kuonyesha ulimwengu ‘binadamu hana kikomo’

Chelsea ni moja kati ya klabu zinazopokea mashindano zinazomfukuzia kiungo wa kati Charlie Allen mwenye umri wa miaka 15-ambaye amefanikiwa kujiunga na timu yake ya kwanza katika championi Ligi ya Ireland Kaskazini ya Linfield. (Daily Express)

Haki miliki ya picha
Getty Images

Image caption

Chelsea ni moja kati ya klabu zinazopokea mashindano zinazomfukuzia kiungo wa kati Charlie Allen mwenye umri wa miaka 15

Victor Lindelof, mwenye umri wa miaka 25, anadai kuwa hakujali mazungumzo ya uhamisho yanayomuhusisha na Barcelona katikia msimu waujao ,na mlinzi wakikosi cha Sweden . (goal.com)

Manchester United wanajiandaa kumuunga mkono meneja Ole Gunnar Solskjaer katika msimu wa uhamisho wa wachezaji ifikapo mwezi Januari lakini wanaonya kuwa hawatalipa malipo ya ziada kwa wachezaji eti tu kwasababu ya kunusuru msimu wao kimchezo . (ESPN)

Image caption

Meneja wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer ameonywa asitumie pesa za ziada kuwalipa wachezaji msimu ujao

Paris St-Germain wamethibitisha kwamba mshambuliaji Mbrazil Neymar, mwenye umri wa miaka 27, ataondolewa katika kikosi hicho kwa wiki nne kutokana na jeraha la mkono . (Mirror)

Meneja wa zamani wa Manchester City Roberto Mancini ameongeza mkataba wake kama kocha wa Italy hadi mwaka 2022 baada ya kuheshimu kipengele katika mkataba wake , kwa kusaini kufuzu kwa Euro 2020 . (Mail)

Haki miliki ya picha
Getty Images

Image caption

Mbrazil Neymar

Meneja wa klabu ya Bournemouth Carl Fletcher anafanya mazungumzo yatakayo muwezesha kuwa meneja wa Leyton Orient . (Bournemouth Echo)

Arsene Wenger atafichua kiwango chake cha taaluma katika Arsenal mwaka ujao wakati wasifu wake utakapotangazwa . (London Evening Standard)Source link