Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari amesema kuanzia Januari 2020 wageni kutoka nchi za Afrika watakaoingia Nigeria watakata Visa wakiwa wameshaingia nchini humo tofauti na utaratibu wa sasa wa kupata Visa kabla ya safari.

FILE PHOTO: Nigeria's President Buhari meets with his South African counterpart Ramaphosa in Pretoria

 

Njia hii huwenda itarahisisha raia watokao Barani Afrika kuweza kuingia katika nchi hiyo yenye idadi kubwa ya watu pasipo.

Katika mabadiliko makubwa yanayo husu sera za Visa, Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ametangaza nchi hiyo itanzaa kutoa Visa kwa raia wote wanaotoka Mataifa ya Afrika watakao ingia.

Buhari ameyasema hayo akiwa kwenye mkutano nchini Misri. Endapo wazo hilo litatekelezwa basi huwenda litasaidia kushinikiza kwa Mataifa mengine kuiga mfano huo.





Source link